Simba yatuma salamu kwa Wazambia, wampiga mtu bao 4 - EDUSPORTSTZ

Latest

Simba yatuma salamu kwa Wazambia, wampiga mtu bao 4

Simba yatuma salamu kwa Wazambia, wampiga mtu bao 4

 Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Leo Septemba 26 Timu ya Simba imecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Pan African na kuibuka na ushindi wa magoli 4-0.


Simba wako katika maandalizi ya mchezo wa mkondo wa pili dhidi ya Power Dynamos ya Zambia kuwania kufuzu kwa hatua ya Makundi Ligi ya Mabinwa Afrika utakaopigwa Oktoba 1.


Mabao ya Simba katika mchezo huo yamefungwa na Saido, Phiri, Kibu na Onana.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz