Real Madrid wapigika bao 3 Madrid Derby - EDUSPORTSTZ

Latest

Real Madrid wapigika bao 3 Madrid Derby

 Real Madrid wapigika bao 3 Madrid Derby

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Derby ya Jiji la Madrid imemalizika kwa ushindi wa 3-1 kwa Atletico Madrid dhidi ya mahasimu wao wakubwa Real Madrid katika dimba la Metropolitano.


Mabao ya Atletico yamefungwa na Morata aliefunga mawili 4’ 46’, Griezman 18' huku bao pekee la Madrid likifungwa na Toni Kroos.


Real Madrid imeshindwa kurejea kileleni kufuatia kipigo hicho cha kwanza cha msimu na inasalia nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Laliga alama 15 baada ya mechi 6.


Atletico Madrid inasalia nafasi ya 5 ikiwa na alama 10 baada ya mechi 5.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz