Rais Samia awapa Ndondo Cup Mil. 92 - EDUSPORTSTZ

Latest

Rais Samia awapa Ndondo Cup Mil. 92

 Rais Samia awapa Ndondo Cup Mil. 92

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametimiza ahadi yake ya kuiunga mkono Ndondo Cup kwa kuchangia Tsh. mil Tsh. 92 milioni kwa Washindi wa Ligi hiyo.


Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa leo katika Studio za Clouds FM Mikocheni amekabidhi zawadi kwa washindi wa Ndondo Cup ambapo mgawanyiko wa zawadi kwa Timu zilizoshiriki Ndondo Cup 2023 msimu huu kuanzia hatua ya makundi jumla yake ni Tsh. 92 milioni.


Msigwa amekabidhi fedha hizo kwenye kipindi cha Sports Xra kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.


Ndondo Cup ni Mashindano ya mpira wa miguu yaliyoasisiwa na Clouds Media Group chini ya Mtangazaji Shaffih Dauda ambayo hufanyika kila mwaka na kuvipa nafasi vipaji vya Wakali wa soka kuanzia ngazi ya mtaa.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz