ORODHA kamili wachezaji wa Simba waliosafiri kuwafata Power Dynamos - EDUSPORTSTZ

Latest

ORODHA kamili wachezaji wa Simba waliosafiri kuwafata Power Dynamos


 Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Simba SC leo Septemba 14, 2023 wamekwea 'pipa' kuelekea nchini Zambia kwa ajili ya kwenda kuanza rasmi safari yao kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika ambapo wanatarajia kukipiga na Power Dynamos Jumamosi Septemba 16, 2023.

ORODHA kamili wachezaji wa Simba waliosafiri kuwafata Power Dynamos

#ORODHA kamili wachezaji wa Simba waliosafiri kuwafata Power Dynamos

Wachezaji walioondoka na kikosi ni kama ifuatavyo;


MAGOLIKIPA: Ally Salim, Hussein Abel na Ayoub Lakred.


MABEKI: Shomari Kapombe, David Kameta, Israel Mwenda, Mohammed Hussein, Hussein Kazi, Henock Inonga, Che Malone na Kennedy Juma.


VIUNGO: Mzamiru Yassin, Sadio Kanoute, Fabrice Ngoma, Hamis Abdallah, Saido Ntibanzokiza, Clatous Chama, Willy Onana, Luis Miquissone na Kibu Denis.


WASHAMBULIAJI: Jean Baleke, Moses Phiri, Shabani Chilunda na John Bocco.

Usikose kutazama LIVE mechi ya El Merrikh vs Yanga na Dynamos power vs Simba mechi zote zitakuwa live kweñye app yetu kama bado huna app yetu 👉👉 BOFYA HAPADownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz