Liverpool yawatembezea kichapo Aston Villa - EDUSPORTSTZ

Latest

Liverpool yawatembezea kichapo Aston Villa

 Liverpool yawatembezea kichapo Aston Villa

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


Wenyeji, Liverpool wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Aston Villa katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Jana Jumapili Uwanja wa Anfield Jijini Liverpool.


Mabao ya Liverpool yamefungwa na Dominik Szoboszlai dakika ya tatu, Matthew Cash aliyejifunga dakika ya 22 na Mohamed Salah dakika ya 55.


Kwa ushindi huo, Wekundu hao wanafikisha pointi 10 na kusogea nafasi ya tatu, wakati Aston Villa wanabaki na pointi zao sita nafasi 11 baada ya wote kucheza mechi nne.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz