Kocha Ihefu atimuliwa baada ya mechi 2 - EDUSPORTSTZ

Latest

Kocha Ihefu atimuliwa baada ya mechi 2

 John Simkoko

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Uongozi wa klabu ya Ihefu SC ya Mbarali umefikia uamuzi wa kuachana na kocha wake mkuu John Simkoko.


Simkoko anatimuliwa Ihefu baada ya michezo miwili tu ambayo wamepoteza mmoja na kushinda mchezo mmoja kwenye ligi kuu ya NBC Msimu huu.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz