Yanga yatambulisha kocha wa magolikipa - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga yatambulisha kocha wa magolikipa

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Klabu ya Yanga imemtambulisha Alaa Meskini kuwa mkufunzi wa magolikipa akichukua nafasi ya Milton Nienov aliyeondoka mwishoni mwa msimu uliopita baada ya mkataba wake kumalizika


Meskini tayari alishaanza majukumu yake katika benchi la ufundi chini ya Kocha Miguel Gamondi ambaye ndiye aliyependekeza aongezwe


Meskini amewahi kuzinoa klabu za Wydad Athletic (Morocco), Hassania D'agadir (Algeria) na timu ya vijana U23 ya FAR Rabat ya Morocco


Benchi la ufundi Yanga sasa linaundwa na makocha ambao wote wamewahi kufanya kazi katika nchi za Afrika Kaskazini kama Morocco, Tunisia, Misri na Algeria


Mataifa haya yametawala soka la Afrika ngazi klabu na hata timu za Taifa, Yanga ina malengo makubwa katika soka la AfrikaDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz