Viingilio; Yanga vs KMC, NBC PL - EDUSPORTSTZ

Latest

Viingilio; Yanga vs KMC, NBC PL

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Jumatano, August 23 2023, Yanga itashuka uwanja wa Azam Complex kuikabili KMC katika mchezo wa ligi kuu ya NBC


Huu utakuwa mchezo wa kwanza wa Yanga katika ligi kuu ya NBC msimu huu


Uongozi wa Yanga umetangaza viingilio vya mchezo huo ambao utapigwa saa 1 usiku


VIP A ni Tsh 20,000/-, VIP B ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-

Pia mechi itakuwa live kwenye app yetu kàma bado hujaipakua BONYEZA HAPADownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz