Unaambiwa Simba Day ya mwaka huu haijawahi kutokea - EDUSPORTSTZ

Latest

Unaambiwa Simba Day ya mwaka huu haijawahi kutokea


Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi klabu ya Simba Salim Abdallah 'Try Again' amesema Wanachama na Mashabiki wa timu hiyo wajiandae kwa Tamasha kubwa la Simba Day ambalo halijapata kutokea


Simba ikiwa tayari imeuza tiketi zote siku tatu kabla ya Tamasha lenyewe, Try Again amesema tamasha hilo ni sherehe ya Wanasimba kufurahi pamoja na timu yao wakiukaribisha msimu mpya


Try Again amesema Wanasimba wanakwenda kushuhudia timu yao bora ambayo msimu huu imeweka malengo makubwa ya kushinda matajiDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz