Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Ajibu ametua Coastal Union akiwa mchezaji huru baada ya mkataba wake wa mwanza mmoja na Singida FG kumalizika
Ameungana na aliyekuwa Kocha wake wakati yuko Yanga Mwinyi Zahera ambaye sasa ni Kocha wa Coastal Union
Zahera ndiye aliyependekeza usajili wa Ajibu akimtaja kama mchezaji mwenye kipaji zaidi nchini
No comments:
Post a Comment