Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Ilikuwa ahadi ya Rais wa heshima klabu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' kusajili mlinda lango mwingine ili kuhakikisha eneo hilo linakuwa imara
Lakred pia amewahi kuitumikia klabu ya RS Berkane ya Morocco akiwa ni mlinda lango namba moja
Mlinda lango huyo mwenye umri wa miaka 28 amesajiliwa na Simba kwa mkataba wa miaka miwili
No comments:
Post a Comment