Simba wampa mkono wa kwaheri Peter Banda - EDUSPORTSTZ

Latest

Simba wampa mkono wa kwaheri Peter Banda

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Kiungo mshambuliaji Peter Banda anaondoka klabu ya Simba kusaka changamoto mahali pengine baada ya makubaliano ya pande mbili


Banda alikuwa bado ana mkataba wa mwaka mmoja na Simba lakini makubaliano yamefikiwa, Simba ikimruhusu aondoke


Banda huenda akajiunga na Fc Kyrvbas inayoshiriki Ligi Kuu ya Ukraine


Ameitumikia Simba kwa misimu miwili hata hivyo Wanasimba hawakufaidi kipaji chake kutokana na majeraha yaliyokuwa yakimkabili mara kwa maraDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz