ONYO: Kama huna tiketi kwa Mkapa usisogee - EDUSPORTSTZ

Latest

ONYO: Kama huna tiketi kwa Mkapa usisogee

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limewataka watu wote wasiokuwa na tiketi za kuingilia kwenye tamasha la Simba Day siku ya kesho wasijaribu kabisa kuusogolea uwanja wa Benjamin Mkapa, kwani wanaweza kuwa ndiyo chanzo cha tatizo la msongamano.


Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limewataka watu wote wasiokuwa na tiketi za kuingilia kwenye tamasha la Simba Day siku ya kesho wasijaribu kabisa kuusogolea uwanja wa Benjamin Mkapa, kwani wanaweza kuwa ndiyo chanzo cha tatizo la msongamano. Taarifa hiyo imetolewa na Kamanda wa Polisi wa Kanda hiyo Jumanne Muliro, na kusisitiza kwamba watakaokiuka watachukuliwa hatua palepale, na kwamba limebaini uwepo wa watu wanaouza tiketi bandia licha ya tiketi zote za tamasha hilo kuuzwa (Sold out).Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz