BREAKING: Huyu ndio MC wa Tamasha la "Simba Day" - EDUSPORTSTZ

Latest

BREAKING: Huyu ndio MC wa Tamasha la "Simba Day"

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Aliekuwa Mtangazaji wa Shirka la Habari la BBC, Salim Kikeke ndio atakaekuwa Mshereheshaji Mkuu (MC) Katika kilele cha Tamasha la "Simba Day" kesho Agosti 6, siku ya Jumapili katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.


Kikeke kwa mara ya kwanza anakwenda kusherehesha Tamasha hilo kubwa la Klabu ya Soka nchini.


Kikeke ni mshabiki kindakindaki wa Klabu ya Simba SC.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz