Ni Simba vs Power Dynamo Ligi ya Mabingwa - EDUSPORTSTZ

Latest

Ni Simba vs Power Dynamo Ligi ya Mabingwa

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Ni rasmi sasa Simba itachuana na Power Dynamos ya Zambia katika mchezo wa raundi ya kwanza ligi ya mabingwa barani Afrika


Ni baada ya Power Dynamos kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya African Stars na hivyo kufuzu raundi ya kwanza kwa faida ya bao la ugenini


Mchezo wa kwanza utapigwa Septemba 15 huko Zambia na mchezo wa marudiano kupigwa Septemba 29 jijini Dar es salaam


Simba na Power Dynamos zilichuana kwenye Tamasha la Simba Day, Wekundu wa Msimbazi wakiibuka na ushindi wa mabao 2-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa


Timu hizo zinakutana tena kuwania tiketi ya kutinga hatua ya makundi



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz