Matokeo Ya Yanga vs ASAS Leo August 26 2023 CAF CHAMPIONS league - EDUSPORTSTZ

Latest

Matokeo Ya Yanga vs ASAS Leo August 26 2023 CAF CHAMPIONS league

 

Matokeo Ya Yanga vs ASAS Leo August 26 2023

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


Mkono mwingine unapigwa na Wananchi katika uwanja wa Azam Complex, Yanga ikitinga raundi ya kwanza ligi ya mabingwa kibabe kwa ushindi wa mabao 5-1 dhidi ya Asas Fc ya Djibout


Yanga inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa mabao 7-1 na sasa itacheza na El Merrikh katika mchezo wa raundi ya kwanza


Ilikuwa ni Maxi Day, ama kwa hakika imekuwa siku njema kwa Maxi Nzengeli kwani aliitendea haki siku hii


Maxi alifunga mabao mawili katika mchezo huo ambao ilitawala kwa muda wote


Mabao mengine yalifungwa na Hafiz Konkoni, Pacome Zouzou na Clement Mzize


Yanga inafunga mabao matano katika mchezo wa pili mfululizo, ikitoka kuibugiza KMC mabao 5-0 katika mchezo wa ligi kuu


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz