Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Uongozi wa klabu ya KMC umewaomba radhi wapenzi na mashabiki wake baada ya kuchabangwa mabao 5-0 na Yanga katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa uwanja wa Azam Complex jana
Taarifa iliyotolewa na timu hiyo mapema leo, imebainisha kuwa wamekubali kipigo hicho ni kikali lakini hayakuwa matarajio yao
Timu hiyo inaanza maandalizi ya mchezo wa ligi kuu utakaofuata dhidi ya JKT Tanzania ambao utapigwa Septemba 15
Post a Comment