Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Bodi ya Ligi imeweka ngumu Simba kucheza mechi nyingine ya ligi kuu wiki hii na hivyo Wanasimba watakaa takribani mwezi mmoja bila ya kuishuhudia tena timu yao ikicheza mechi la ligi kuu
Ni ratiba ambayo haijamfurahisha Kocha Robertinho Oliveira ambaye kikosi chake kilikuwa imeanza kupata muunganiko baada ya kucheza mechi mfululizo
Simba inatarajiwa kuwapa mapumziko ya siku chache wachezaji ambao hawatakuwa na majukumu katika timu za Taifa
Wekundu wa Msimbazi wataanza maandalizi ya mchezo wa raundi ya kwanza ligi ya mabingwa barani Afrika wakitarajiwa kucheza na mshindi wa mchezo kati ya Power Dynamos (Zambia) dhidi ya Afican Stars ya Namibia
Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
African Stars walishinda mabao 2-1 katika mchezo wa mkondo wa kwanza, timu hizo zitarudiana nchini Zambia mwishoni mwa wiki
Mchezo wa mkondo wa kwanza, raundi ya kwanza utapigwa Septemba 15 Simba ikianzia ugenini na kumalizia mchezo wa pili nyumbani wiki moja baadae
No comments:
Post a Comment