AS Vita watupwa nje Ligi ya Mabingwa Afrika - EDUSPORTSTZ

Latest

AS Vita watupwa nje Ligi ya Mabingwa Afrika

 Klabu ya AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Klabu ya AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imeondoshwa kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia kipigo cha jumla cha 2-1 dhidi ya miamba ya Angola, Primeiro de Agosto.


De Agosto walishinda 1-0 kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza kabla ya kutoka sare ya 1-1 kwenye mchezo wa marudiano


De Agosto watachuana na Al Hilal Omdurman ya Sudan kwenye raundi inayofuata.


Safari hii hakuna kushuka kwenda Shirikisho hivyo AS Vita wanakwenda nyumbani wakajipange kwa ajili ya msimu ujao.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz