Al Ahli wanunua kikundi cha ushangiliaji cha Raja

 Al Ahli wanunua kikundi cha ushangiliaji cha Raja

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Sio kununua wachezaji wakali kutoka Ulaya tu,Timu ya Al Ahli ya ligi kuu ya Saudi Arabia iliyowasajili Riyad Mahrez,Roberto Firmino na Edouard Mendy imesaini dili na kikundi kikubwa maarufu cha ushangiliaji cha Raja Casablanca ya Morocco kinachoongozwa na shabiki maarufu zaidi nchini Morocco Zakaria Belkadi.


Sasa Zakaria na kikundi chake watakuwa wakifanya shughuli hiyo ya ushangiliaji wakati timu hiyo inapocheza huko nchini Saudi Arabia.


Mpaka sasa haijawekwa wazi kama kikundi hicho kinachofahamika kwa jina la “Zakaria Squadra” kitaendelea pia na kazi ya ushangaliaji kwenye mechi za Raja Casablanca au watakuwa ni kwa ajili ya Al Ahli tu.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post