Ahmed Ally awapiga dogo la usajili Yanga - EDUSPORTSTZ

Latest

Ahmed Ally awapiga dogo la usajili Yanga

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally ameendelea na shamrashamra za wiki ya Simba Day ambapo leo alikuwa kwenye viwanja vya Buza jijini Dar.


Akiwa Buza, Ahmed amesema, kuna mchezaji ambaye mara nyingi huwa anasajiliwa na timu pinzani kimaneno lakini kiuhalisia anachezea Simba.


"Kuna mchezaji kila dirisha la usajili likifunguliwa wanamsajili lakini msimu ukianza anachezea Simba, njoo Jumapili kwa Mkapa mje mumwone," alisema Ahmed.

Usikose kutazama LIVE sherehe za Simba Day Bure bofya hapa kudownload app itakayo kuwezesha kutazamaDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz