Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Baada ya utambulisho wa beki kisiki Gift Fred aliyetua Yanga kutoka SC Villa ya Uganda, Wananchi watashusha silaha nyingine. Imeelezwa leo mtikisiko utakuwa mkubwa zaidi pengine kuliko jana
Mpaka sasa Yanga imetambulisha wachezaji wawili, Nickson Kibabage na Gift, bado kuna kuna silaha nyingine zinasubiri kuwekwa hadharani
Post a Comment