Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Simba ipo sokoni kutafuta kocha mpya wa timu ya wanawake (Simba Queens), baada ya kuachana na Charles Lukalu huku Juma Mgunda na Mussa Mgosi wakiingia mtengoni.
Mgunda ambaye ni kocha msaidizi wa timu ya wanaume na Mgosi anayenoa timu za vijana wamepewa ofa ya kuinoa Simba Queens lakini inaonekana wote hawapo tayari kwa jukumu hilo na mazungumzo baina na uongozi yanaendelea.
Mgunda hajasafiri na Timu ya Wanaume ya Simba iliyokwenda kuweka Kambi nchini Uturuki.
No comments:
Post a Comment