Yanga kufunga usajili na huyu..! - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga kufunga usajili na huyu..!

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Tetesi zinasambaa zikiitaja Klabu ya Yanga SC wapo kwenye mazungumzo ya juu ya kutaka kumsajili mshambuliaji wa FC Conan Younde, Emmanuel Mahop (28) kabla ya msimu ujao.


Miguel Gamondi anamfahamu vyema mchezaji huyo wa Kimataifa wa Cameroon na anatamani kufanya kazi naye kila mara.


Makubaliano ya mdomo yaliyofikiwa, ofa ya mkataba inayotarajia kuwasilishwa ilitarajiwa kufikiwa jana usiku na Mshambuliaji huyo anatazamiwa kuchukua nafasi ya Mayele.


Usajili wa Straika huyo ndio unaotazamiwa kuwa usajili wa mwisho kwa Yanga msimu dirisha hili.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz