Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Klabu ya Simba imethibitisha kukamilisha usajili wa mlinzi wa kati Hussein Kazi kwa kandarasi ya miaka miwili kutoka Geita Gold. Kazi amewahi pia kuhudumu katika Klabu ya Mbeya Kwanza ya jijini Mbeya ambayo ilishuka Daraja misimu miwili iliyopita.
Post a Comment