Wydad, Ahly wakumbana na rungu la CAF

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Shirikisho la Soka barani Africa CAF, limeipiga faini klabu ya Wydad AC ya dola 20,000 kutoka na vitendo vilivyofanyika katika mchezo wa fainali ya CAF Champions League dhidi ya Al Ahly,


Nao Al Ahly SC ambao walinyakua Ubingwa katika Fainali hizo wamepigwa faini ya dola $10000.


FIFA pia imemfungia Kiungo wa timu ya taifa ya Mali na Al Ahly SC ya Misri Aliou Dieng kwa miezi 6, au kulipa faini ya £220K, kwa kutomlipa wakala wake mshahara, kabla ya kuondoa marufuku yake.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post