Wapinzani wa Simba, Yanga CAF kujulikana Jumanne, orodha ya timu zote hii hapa! - EDUSPORTSTZ

Latest

Wapinzani wa Simba, Yanga CAF kujulikana Jumanne, orodha ya timu zote hii hapa!

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Shiikisho la Soka Barani Afrika (CAF) linatarajia kupanga mechi za awali za mtoano za mashindano ya Ligi ya Mabingwa (CAFCL) na Kombe la Shirikisho (CAFCC) msimu wa 2023/23 keshokutwa Jumanne, Julai 25, 2023 tayari kwa kuanzia michuano hiyo mnamo Agosti mwaka huu.


Tanzania itawakilishwa na timu nne ambapo Simba SC na Yanga watacheza Kombe la Mabingwa wakati Azam FC na Singida Fontain Gate wakicheza Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.


Timu zote zitakazoshiriki michuano hiyo ni hizi;


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz