Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Kiungo wa Azam FC Feisal Salum 'Feitoto' amekutana na kocha wake wa zamani Nasredine Nabi nchini Tunisia.
Feitoto kwa sasa yupo nchini Tunisia kwa ajili ya pre-season na timu yake mpya ya Azam FC baada ya kuondoka Yanga aliyoitumikia kwa miaka minne.
Aidha, Kocha Nabi ambaye naye ameachana na Yanga baada kumalizika msimu uliopita, ameshatangazwa kuwa kocha mkuu wa AS FAR Rabat ya Morocco lakini kwa sasa yupo nyumbani kwao Tunisia kwa mapumziko kabla ya kuanza majukumu yake mapya na timu yake mpya.
No comments:
Post a Comment