Try Again: Mimi na Mo Dewji tumesajili kifaa kipya, "Soon" kinashuka - EDUSPORTSTZ

Latest

Try Again: Mimi na Mo Dewji tumesajili kifaa kipya, "Soon" kinashuka

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Wakati ikiendelea na usajili wa maboresho ya kikosi chake kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao 2023/24, na kiutambulisha baadhi ya nyota kadhaa kumbe kazi bado haijaisha mitaa ya Msimbazi.


Jana Julai 12, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Salim Abdallah "Try Again" amesema


Mimi na Mohammed Dewji tumefanikisha usajili wa mchezaji mkubwa sana kutoka klabu kubwa sana na muda si mrefu tutambulisha"


Je unahisi ni mchezaji gani anaefata kutambulishwa? Tuachie Comment yakoDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz