TETESI: Al Nassr kuwakutanisha tena De Gea na Ronaldo - EDUSPORTSTZ

Latest

TETESI: Al Nassr kuwakutanisha tena De Gea na Ronaldo

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Klabu ya Al Nassr ya Saudi Arabia imefikiria kumsajili Mlinda mlango David De Gea ambaye mkataba wake na Mashetani wekundu wa Manchester umefikia ukomo mwishoni mwa mwezi Juni.


Klabu ya Al Nassr ya Saudi Arabia imefikiria kumsajili Mlinda mlango David De Gea ambaye mkataba wake na Mashetani wekundu wa Manchester umefikia ukomo mwishoni mwa mwezi Juni. De Gea (32) raia wa Uhispania huenda akaungana na mchezaji mwenzake wa zamani wa Manchester United, Cristiano Ronaldo anayekipiga klabuni hapo.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz