Simba yamtambulisha mwingine

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Klabu ya Simba imemtangaza Corneille Hategekimana kuwa Kocha wa viungo


Hategekimana raia wa Rwanda amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Simba


Hategekimana (47) anatajwa kuwa pendekezo la Kocha Robertinho Oliveira akijiunga na Simba akitokea AS Kigali

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post