Sawadogo akubali yaishe apewa mkono wa kwaheri Simba - EDUSPORTSTZ

Latest

Sawadogo akubali yaishe apewa mkono wa kwaheri Simba

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Klabu ya Simba imetangaza kuachana na kiungo wake mkabaji Ismael Sawadogo ambaye usajili wake ulifanyika kipindi cha dirisha dogo la msimu wa 2022/23.


Mechi ya kwanza kwa kiungo huyo ilikuwa ni kati ya Dodoma Jiji dhidi ya Simba katika dimba la Jamhuri na kumalizika kwa mnyama kushinda bao 0-1. Mchezo huo ulikuwa ni wa NBC Premier League.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz