Sadio Mane afukuzwa Bayern Munich - EDUSPORTSTZ

Latest

Sadio Mane afukuzwa Bayern Munich

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Uongozi wa klabu ya Bayern Munich ya Ujerumani umemshauri nyota wao raia wa Senegal, Sadio Mane kuchunguza chaguzi za uhamisho.


Uongozi wa Bayern umethibitisha kwa sasa hauhitaji kumtegemea Msenegali huyo(kwa msimu ujao).


Mane alikuwa ameamua kuendelea na Bayern kabla ya yeye na uongozi wake kupewa taarifa hizo.


Mane ni miongoni mwa wachezaji wanaolipwa mishahara mikubwa katika klabu ya Bayern Munich.


Sadio Mane alijiunga na Bayern msimu wa joto wa 2022, na kusaini kandarasi ya miaka mitatu akitokea Klabu ya Liverpool alikocheza kwa mafanikio makubwa.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz