Azam Fc waitembezea kichapo Cha mabao 3-0 Al hilal mechi ya kirafiki - EDUSPORTSTZ

Latest

Azam Fc waitembezea kichapo Cha mabao 3-0 Al hilal mechi ya kirafiki

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Wachezaji wapya wa Azam FC kutoka Senegal, beki Cheikh Sidibe na mshambuliaji Alasane Diao wameanza vizuri baada ya kufunga mabao katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Al Hilal ya Sudan leo Uwanja wa Olimpiki mjini Rades nchini Tunisia.


Sidibe aliyesajiliwa kutoka Teungueth Rufisque alifunga bao la kwanza na Alasane Diao aliyesajiliwa kutoka US Goree za kwao, Senegal alifunga la tatu huku bao la pili likifungwa mshambuliaji Mzimbabwe, Prince Dube Mpumelelo.


Huo ulikuwa mchezo wa kwanza wa kujipima nguvu kwa Azam katika wiki ya kwanza kati ya tatu ya kambi yake ya kujiandaa na msimu mpya katika Mji wa Sousse nchini Tunisia.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz