RS Berkane kucheza fainali na Raja Casablanca - EDUSPORTSTZ

Latest

RS Berkane kucheza fainali na Raja Casablanca

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Klabu ya RS Berkane wametinga hatua ya Fainali kwenye Kombe la Throne (Throne Cup) mara baada ya kushinda jumla ya magoli matano kwa manne kwa mikwaju ya penati dhidi ya Fus Rabat mchezo uliopigwa katika dimba la Fez Stadium huko Morocco.


Rs Berkane watakutana na klabu ya Raja Casablanca kwenye hatua ya Fainali ambapo walifanikiwa kushinda dhidi ya Wydad Casablanca.


Mshindi wa Kombe la Throne (Throne Cup) ndiye atakayeshiriki michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika #CAFCC kwenye msimu ujao wa 2023/24.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz