Mtine afungukia tetesi za kuondoka Yanga - EDUSPORTSTZ

Latest

Mtine afungukia tetesi za kuondoka Yanga

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Ofisa Mtendaji wa Klabu ya Yanga, Andre Mtine amekanusha taarifa za kwamba ameondoka ndani ya klabu hiyo.


Taarifa zilizokuwa zinasambaa mitandaoni ni kwamba Mtine raia wa Zambia ameondoka ndani ya Klabu ya Yanga baada ya kutofautiana na uongozi wa klabu hiyo kuhusu masuala ya fedha.


"Hapana sijaondoka Yanga sc ila nilikuwa likizo, na narudi leo Tanzania majira ya saa 18:10 jioni," amesema Mtine.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz