Rasmi: Yanga yang'oa mchezaji mwingine kutoka Asec Mimosas - EDUSPORTSTZ

Latest

Rasmi: Yanga yang'oa mchezaji mwingine kutoka Asec Mimosas

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Sio tetesi tena, sasa ni rasmi Yanga imekamilisha usajili wa mlinzi mahiri wa kulia Yao Kouassi Attohoula


Mabingwa wa nchi wamemn'goa Yao Kouassi kutoka klabu ya Asec Mimosas ya Ivovy Coast


Kouassi ni mchezaji kiraka ambaye anaweza kutumika katika nafasi zote za ulinzi na hata kiungo mkabaji


Kwa hakika Yanga imedhamiria kutetea makombe yote, usajili huu unatoa picha halisi ya mipango ya Yanga kuelekea msimu ujaoDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz