Msuva amvimbisha Nickson Kibabage Yanga - EDUSPORTSTZ

Latest

Msuva amvimbisha Nickson Kibabage Yanga

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Winga wa zamani wa Yanga Saimon Msuva amesema usajili wa Nickson Kibabage utakuwa na manufaa kwa Yanga


Yanga imemsajili Kibabage kutoka klabu ya Singida Fountain Gate akisaini mkataba wa miaka miwili


Msuva amesema anamfahamu vizuri Kibabage kwa kuwa amewahi kucheza nae kunako klabu ya Difaa El Jadida ya Morocco, ana uwezo wa kucheza nafasi zaidi ya moja tena kwa ufasaha


"Nakumbuka wakati anarudi Tanzania watu walimbeza kama hivi, lakini nilijua atawashangaza"


"Nikawaona tena watu wakishangaa walipomuona akicheza kama winga badala ya beki kisha akafanya tena vizuri, hizo ni nafasi mbili ambazo anajua kuzicheza vizuri"


"Akiwa na Yanga atawashangaza zaidi muhimu wamwamini na kumpa nafasi, " alisema MsuvaDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz