Mo dewji aandika ujumbe tata asema anakaribia kukata tamaa Simba - EDUSPORTSTZ

Latest

Mo dewji aandika ujumbe tata asema anakaribia kukata tamaa Simba

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Rais wa heshima klabu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' ameeleza masikitiko yake kutokana na kuchelewa kukamilika kwa mchakato wa mfumo wa mabadiliko ya klabu sasa ikiwa ni miaka 6


Kupitia ujumbe alioweka kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Twitter, Mo amesema aanakatishwa tamaa na kuchelewa kumalizika kwa mchakato huo kumalizika


Nani anakwamisha mchakato huu? Nafikiri wakati umefika kwa wale wanaokwamisha kuwekwa hadharani ili Wanasimba wawafahamu kuwa hao ndio maadui wa maendeleo ya klabu ya Simba na soka la Tanzania kwa ujumlaDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz