Kocha Man United abariki usajili wa McTominay - EDUSPORTSTZ

Latest

Kocha Man United abariki usajili wa McTominay

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag amewataka mabosi wa timu hiyo kukubali ofa kutoka AS Roma ili kumuuza kiungo wa kimataifa wa Scotland, Scott McTominay, 25, katika dirisha hili la usajili linaloendelea huko Ulaya.


Kocha Ten Haga anataka mchezaji huyu auzwe ili pesa zitakazopatikana zitumike katika kufanya usajili wa mastaa anaowataka kabla ya dirisha la usajili halijafungwa.


Kiungo huyo kwa sasa hana namba ya ukakika kikosini huku Man United ikiangalia uwezekano wa kufanya sajili mpya.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz