Breaking: Yanga yamtambulisha Rasmi Mvp wa Ivory coast 2022/2023 - EDUSPORTSTZ

Latest

Breaking: Yanga yamtambulisha Rasmi Mvp wa Ivory coast 2022/2023

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Sio tetesi tena, Yanga imemshusha mchezaji bora wa ligi kuu ya Ivory Coast (2022/23) Pacome Zouzoua (MVP)


Pacome ni kiungo mshambuliaji ambaye pia anaweza kutumika katika eneo la kiungo cha ulinzi. Ndiye mchezaji bora wa mwaka wa Asec Mimosas pia


Katika msimu uliopita Pacome alifunga mabao saba na kutoa pasi nne za mabao.


Baada ya Yanga kumsajili Stephane Aziz Ki ambaye pia alitua Yanga akiwa MVP wa ligi ya Ivory Coast, Pacome alikabidhiwa majukumu ya kuibeba Asec Mimosas


Ametoa mchango mkubwa kwa kikosi cha Asec kilichotwaa ubingwa wa Ligi 1 ya Ivory Coast kwa msimu wa pili mfululizo pamoja na kutwaa taji la FA pia


Pacome pia alikuwa sehemu ya kikosi cha Asec kilichofanikiwa kucheza nusu fainali ya kombe la Shirikisho katika msimu uliomalizika



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz