Historia imeandikwa kwa soka la Tanzania - EDUSPORTSTZ

Latest

Historia imeandikwa kwa soka la Tanzania

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Mahlatse Makudubela 'Skudu' ameweka rekodi kuwa mchezaji wa kwanza kutoka Afrika Kusini kucheza ligi kuu ya Tanzania Bara


Kwa lugha nyingine Yanga inakuwa klabu ya kwanza Tanzania kusajili mchezaji wa ligi kuu ya Afrika Kusini


Ubora na thamani ya ligi ya Afrika Kusini ni kubwa kuliko ligi yetu, Skudu anakwenda kufungua milango kwa wachezaji wengine kutoka Afrika Kusini kuja kucheza Tanzania


Skudu ni mchezaji wa daraja la juu, ni aina ya kiungo mshambuliaji/winga ambaye anaweza kufungua mabeki wagumu


Kama Bernard Morrison alijizolea sifa kwa aina yake ya uchezaji ukiondoa changamoto zake za nje ya uwanja, basi mwalimu wake ni Skudu


Skudu ni mchezaji ambaye hahitaji maneno mengi kumuelezea, wale wenye mashaka nae waweke akiba ya maneno, wamsubiri uwanjaniDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz