Fred awekewa ofa mezani, Man United waipiga chini - EDUSPORTSTZ

Latest

Fred awekewa ofa mezani, Man United waipiga chini

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Frederico Rodriguez (Fred) yupo mbioni kuondoka United baada ya kupokea ofa kutoka Galatasaray ya Nchini Uturuki.


Galatasaray tayari wamewasilisha ofa lakini Manchester United wameikataa kutokana na ofa kuwa ndogo kuliko pesa wanayoitaka.


Kiungo huyu wa Kibrazil anahitajika na baadhi ya vilabu vya Saudi pamoja na Fulham inayoshiriki PL.


Fred ataondoka United pale tu mipango yote itakapokamilika.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz