Chilunda kumrithi Kiyombo Simba - EDUSPORTSTZ

Latest

Chilunda kumrithi Kiyombo Simba

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Simba inahusishwa na aliyekuwa mshambuliaji wa Azam Fc, Shaban Iddi Chilunda


Chilunda ni mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba na Azam Fc


Mshambuliaji huyo huenda akatua Msimbazi kuchukua nafasi ya Habibu Kiyombo aliyetolewa kwa mkopo


Chilunda ni mchezaji wa ndani, ana uzoefu wa kutosha kwenye ligi na soka la Kimataifa akiwa amewahi kucheza soka la kulipwa Hispania na Morocco


Kama Simba itamsajili ni wazi atakuwa 'back-up' kwa washambuliaji waliopo na pia kutumika katika baadhi ya mashindano


Simba inahitaji kuwa na kikosi kipana kutokana na mashindano mengi ambayo watashiriki msimu ujao


Ngao ya Jamii, Ligi Kuu, kombe la Shirikisho la Azam, CAF Champions league, African football league na kombe la Mapinduzi ni takribani mashindano sitaDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz