Cheki Miquissone alivyopokelewa Kambi ya Simba Uturuki (+Video) - EDUSPORTSTZ

Latest

Cheki Miquissone alivyopokelewa Kambi ya Simba Uturuki (+Video)

 

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Jana Julai 25 Winga wa Simba Jose Luis Miquissone amewasili katika Kambi ya Simba iliyopo nchini Uturuki wakijiandaa na msimu mpya 2023/24.


Miquissone amekwenda kuungana na Timu na bila shaka atakuwa chini ya Programu maalum kabla ya kuungana na wachezaji wenzake.


Huu ni usajili a,bao Mashabiki wengi wa Simba wanausubiri kwa hamu kubwa kuona kile ambacho wanakitarajiwa kutoka kwa winga huyo.


Tazama Video hapa chini uone mchezaji huyo alivyowasili;Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz