Breaking: Yanga yatambulisha chuma kipya kutoka uganda - EDUSPORTSTZ

Latest

Breaking: Yanga yatambulisha chuma kipya kutoka uganda

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa beki wa kati GIGGY GIFT FRED 🇺🇬 kutoka SC Villa kwa Mkataba wa mwaka mmoja.

Fred ni beki bora wa Ligi ya Uganda msimu uliomalizika..

Giggy (24) amesaini mkataba huo na Yanga akiwa mchezaji huru baada ya mkataba wake kumalizika na Villa mwezi uliopita.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz