Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Klabu ya Yanga imeendelea kuboresha kikosi chake baada ya leo kumtambulisha winga Maxi Mpia Nzengeli ukiwa ni usajili wao wa nne katika Dirisha hili kubwa la Uhamisho.
Nzengeli aliekuwa anachezea AS maniema amesaini Mkataba wa Miaka miwili na Yanga. Ujio wa Nzengeli ni kama Yanga wamekuja kuziba nafasi za mawinga wao Bernard Morisson na Tuisila Kisinda walioachana nao mwishoni mwa msimu uliopita.
No comments:
Post a Comment