Azam FC mambo yazidi kunoga, wasainisha mwingine - EDUSPORTSTZ

Latest

Azam FC mambo yazidi kunoga, wasainisha mwingine

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Beki mahiri kiraka, wa Azam FC Lusajo Mwaokenda ameongeza mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kubakia kwenye klabu ya Azam FC


Mkataba huo wa miaka miwili unamfanya kusalia kwenye viunga vya Azam Complex hadi mwaka 2025.


Mambo yanazidi kuwa mazuri kwa wanalambalamba je unadhani watabeba ndoo msimu ujao? Tuachie maoni yako.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz