Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Usiku wa kuamkia leo, mashabiki wa USM Alger walivamia hotel waliyofikia Yanga huko Algeria na kufanya vurugu
Kulikuwa na mfululizo wa fataki na kelele za mashabiki katika Hoteli ya Legacy ambayo Yanga imefikia
Yanga tayari imewasilisha malalamiko kwa Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) kutokana na vurugu hizo
Hata hivyo wachezaji wa Yanga wako salama wakisubiri kushuka dimbani majira ya saa 4 usiku katika mchezo wa pili fainali kombe la Shirikisho, Yanga ikihitaji kushinda mabao 2-0 ili kutwaa ubingwa
No comments:
Post a Comment