Yanga watangaza kuachana na Kocha wa Magolikipa - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga watangaza kuachana na Kocha wa Magolikipa

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Klabu ya Yanga sc imetangaza kuachana na Kocha wao wa Magolikipa Milton Nienov hivyo hatokuwa sehemu ya kikosi cha Timu hiyo kwa msimu ujao 2023/2024.


Klabu ya Yanga sc imetangaza kuachana na Kocha wao wa Magolikipa Milton Nienov hivyo hatokuwa sehemu ya kikosi cha Timu hiyo kwa msimu ujao 2023/2024. Kocha huyo amehudumu kwenye timu hiyo kwa misimu miwili kama Kocha wa Magolikipa wa Yanga SC.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz